TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mwanzoni mwa mwaka huu tulijulishwa kuwa Diamond (Mwanamuzi wa Tanzania) amepewa nafasi ya kutunga wimbo rasmi wa Kombe la Dunia (kama nilielewa maelezo vyema). Lakini leo kutoka mtandaoni, nimekutana na wimbo rasmi wa Kombe la Dunia tena kutoka official Russia website (RT.com) ambao umetengenezwa na Nicky Jam akiwashirikisha Will Smith (muigizaji wa filamu na mwana-rap), na Era Istrefi. Huku wimbo huo ukiwa umeandaliwa na Diplo. Je. Ule wa Diamond ndiyo basiii ? Nauliza!
Wimbo wenyewe wa Nicky huu hapa.
‘We want to see the world dance’: Will Smith’s official Russia 2018 song released online
Wimbo wenyewe wa Nicky huu hapa.
‘We want to see the world dance’: Will Smith’s official Russia 2018 song released online