TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Asante kwa maelezo. Kwa hiyo, official songs za World Cup mwaka huu zitakuwa nyingi, siyo?zitatoka nyingi tu na mojawapo mondi yupo
Hakuna ni moja tuAsante kwa maelezo. Kwa hiyo, official songs za World Cup mwaka huu zitakuwa nyingi, siyo?
Hahahahaha eti kwangwaru,,Haha watanzania kwa mbwembwe yaan uimbe kwangwaru kwa ajili ya mashindano anayoshiriki messi neyma na Ronaldo