Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hii ngoma Rayvany ametuonyesha unafiki upo mwingi sana kwenye mapenzi ya kisasa.
[emoji444]Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi,na kukupamba kwenye simu.[emoji23][emoji445]
Wanaume huwa tunakamatwa na hawabviumbe sehemu ndogo sana.
Nimekumbuka mbali sana.
Unaibiwa
[emoji444]Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi,na kukupamba kwenye simu.[emoji23][emoji445]
Wanaume huwa tunakamatwa na hawabviumbe sehemu ndogo sana.
Nimekumbuka mbali sana.
Unaibiwa