Rivarcardo
Member
- Jun 22, 2016
- 13
- 14
Ya Mavoko haizungumzii mimba wala mama na mtotoRICHARD MAVOCKO...
WCB...
Team Ngololo
Huu uliimbwa na Jimmy Jamal, na mimi nautafuta sana huu wimbo, sijui nitaupata wapiHeshima kwenu wadau wa jukwaa hili,
Najitokeza kuulizia wimbo wa zamani kidogo jina lake limenitoka ila nakumbuka baadhi ya mistari yake ilikuwa 'samahani mama usiitoe mimba yangu naomba uinusuru roho yangu',sikumbuki jina la mwimbaji ila idea ya wimbo nilikuwa mtoto, anamuomba mama yake asiitoe mimba yake.
Karibuni kwa msaada zaidi.