comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hawamuwezi yupo marekani, na hii nyimbo itahiti sana japokua haitapigwa kwenye redioBASATA hawajamuita tu na kuufungia wimbo ?
Maana watu washakuwa kama vichaaa
Jamaa anajuaNgoja niudanilodi,napenda nyimbo za ROMA MKATOLIKI.