Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wadau Kwema??

Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'hit Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.

Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na huo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kiengereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.

Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.
 
Attachments

Wadau Kwema??

Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'heat Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.

Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na uo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kienfereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.

Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.
Ni Kweli Kabisa Mkuu, i huu wimbo umeibiwa some where...

Kiba ni darasa la saba. Atakua ameiba kilakitu.
Nina hofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitwka kumjua kiba vizur msikilize vzr kuanzia sindelela mpka seduce me uone wap hata nyimbo zake mwenyewe zinajirudia hata ktk melody,,mwachen lile ni jeshi la mtu mmoja kama farid kubanda

Sinderela,
Mac muga
Ya Karim
Usinicheke,
Rote Rote
Single Boy
Run Dunia
Mwana
Nagharamia
Lupela
Nyingine malizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa yaan hamkubali kushindwa kabisa jaman ebu mwacheni tu kiba wa watu jeshi la mtu mmoja
Nimeweka Wimbo watu wausikilize watoe maoni, sijasema kakopi. Hata mie sijui ndio maana nimeweka huu wimbo
 
Ukitwka kumjua kiba vizur msikilize vzr kuanzia sindelela mpka seduce me uone wap hata nyimbo zake mwenyewe zinajirudia hata ktk melody,,mwachen lile ni jeshi la mtu mmoja kama farid kubanda

Sinderela,
Mac muga
Ya Karim
Usinicheke,
Rote Rote
Single Boy
Run Dunia
Mwana
Nagharamia
Lupela
Nyingine malizia

Sent using Jamii Forums mobile app
Zote zinafanana melody......kubana pua kwa sana.....nose singing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom