Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

nyie mapopoma mnajichosha bure kumuwinda ali kiba, Kiba anaweza mziki kwa kiwango safi kabisa, na nyota yake bado ipo vizuri.....huuu ndo ukweli, endeleeni kuvaa mawigi kufanya counter attack kwa mtu mmoja.

Ngw'ana Kabula
 
Jamani mie wimbo nimetumiwa tu Whatsapp na alienitumia nae katumiwa,
Sijui hata kaimba nani wala sijui kautoa lini,
Ndio maana hata Kwenye Title/heading nimefanya kuuliza, sijasema moja kwa moja kua kakopi.
Nimeuleta hapa nikijua pengine kuna wajuzi zaidi yangu wanaujua huu wimbo
 
This shit will be seducing only primary 7 and below

Wasafi zitumieni studio zenu kufanya mambo ya maana na sio kutengeneza tengeneza pumba,Kiba hamumuezi team7 hahahha
 
This shit will be seducing only primary 7 and below

Wasafi zitumieni studio zenu kufanya mambo ya maana na sio kutengeneza tengeneza pumba,Kiba hamumuezi team7 hahahha

Team Mondi wanaweweseka sana...

Nimeshangaa nyimbo ndani ina neno " mashallah"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…