Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

ATTENTION!!!!

Umeundwa na watu wa mondi.. Kuchamfua mtu fulani.
Dont trust it. Pleaseeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1) Sijasema Kiba kakosea
2) Ushahidi wa wimbo nimeweka
wengi tunataka kujua huo wimbo wa nani na umetoka lini na producer ni nani?hizi blahblah na ujinga wakucopy kama zilipendwa ya wasafi wa madale hazita fua dafu huu wimbo ushawashika wenye muziki wao hiyo ndo bongo fleva watu wanayoipenda,tuwekee na eneka basi pamoja na ngoma ya davido basi
 
Hivi umesoma mada na heading yake lakini??
Mimi sio timu yoyote, nimeuweka hapa ili mnisaidie, acha povu.
 
Mm siyo shabiki wa diamond ila kama ni wao wemetengeneza wamefeli sana na pia wataupa huu wimbo promo za kijinga sana na kama kucopy kiba siyo mjinga akopy kila kitu hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sisi Binadamu ni viumbe wa ajabu sana mkuu.
1.Siku ya kwanza walisema wimbo mbaya.
2.walivyoona unapendwa wakasema kick za Mange kimambi.
3.Mara promo za cloud media sababu ya fiesta.
4.Leo wanasema amekopi kwa mtu.

Binadamu akiwa na roho mbaya atafanya kila kitu mambo yako yasiende vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ni nzuri sana ukiwa nayo ila ukiikosa angalau uwe na ufahamu lakini ukikosa vyote utafanya mambo pasipo kujua matokeo... WCB wamepewa pesa ila hawana elimu wala ufahamu nadhani kwa hiki ndo watashawishi wengi kuutizama na kuusikiliza huu wimbo mara nyingi zaidi
 
Mziki ulishakufa Zamani Sana siku hizi hakuna mziki siku hizi upo usanii tu toka lini mziki ukapigwa kwenye compyuta tu. Mziki gani ndani ya miezi miwili 2 radha imekwisha. Hebu ringanisha mziki wa Zamani hauishi radha mäana wanamziki WA zama zile walikuwa ni wabunifu pamoja na kuishi ktk mazingira magumu ya kuichumi lkn hawakutetereka Wala kujikweza. Nashangaa siku hz eti Kuna timu kiba timu diamond timu nini na nini sioni faida zaidi ya majungu tu. Mziki hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watagawa pesa ili watu wasikilize nyimbo?[emoji28]
 
Wcb walishasema hawategemei shows za maskini wa bongo, wanapiga za nje za kitajiri, Boss wao akasema hatumtishi Ana Magari na majumba mengi, tuachieni Kiba sisi maskini tunamuelewa
 
Kiba huo wimbo ni copy and paste! Nimejaribu kuangalia kwa Shazam sijapata jibu Lkn inaonyesha ni wimbo kutoka South America
Kwahiyo South America husema Mashallah kwenye Nyimbo zao? uliza vizuri kule ni Roman Catholic ukipeleka udini tofauti sijui Ukristo au Uislam unajitafutia issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…