Wimbo wa taifa la Kenya

Wimbo wa taifa la Kenya

Huyo ni Mumarekani anatoa maoni yake kuhusu wimbo wa taifa la Kenya. Wewe maoni yako ni gani?
I have seen our national anthem is a hit globally.Hata watoto wamarekani na britain hujifunza wimbo huu kwenye choir zao.

Ilhali youtuber mmoja anaitwa J.J. McCullogh amerank ya Tanzania among the wierdest national anthems.

And then listen to Mani (A Kenyan indian) singin our national anthem.

Alafu pia ya TZ ni copy paste ile ya south africa na zambia. Yani hata kwa kutunga wimbo wa taifa, mlikuwa wavivu mkatafuta ya wengine mkajibandikia.
Mwenzako anaongelea wimbo wenu wa taifa wewe unakuja kuongelea wimbo wetu.

Nikisema akili zako haziko sawa nitakuwa nimekosea!?

SA, Zambia, Zimbabwe and Tanzania they have history.

So ongelea wimbo wenu, usitafute attention.
 
I have seen our national anthem is a hit globally.Hata watoto wamarekani na britain hujifunza wimbo huu kwenye choir zao.

Ilhali youtuber mmoja anaitwa J.J. McCullogh amerank ya Tanzania among the wierdest national anthems.

And then listen to Mani (A Kenyan indian) singin our national anthem.

Kha!! Ndio wimbo wa taifa la kenya huo!?
Duh!!! 🤣 🤣 😳 😳
 
Sounds good but not original ....SA and Zambia share the same
Not SA and Zambia hata Zimbabwe tunashare nao kutokana na history ya mataifa yetu, usifikiri ilikuja tu by chance Tanzania, South Africa, Zambia, Zimbabwe zikawa na melody inayofanana!

Hata bendera ya Tanzania 🇹🇿 inafanana na ya South Africa 🇿🇦 na ya SA inafanana na Zimbabwe 🇿🇼
 
Hakuna kitu hapo ina "tune" ya kikoloni hauna melody ya kiafrika ndani yake.
Eti nini? Fanya risechi kwanza usije ukajiaibisha bure. Tune na melody pia ya wimbo wa taifa la Kenya ni 100% Kenyan[emoji1139]. Kutoka kwa 'lullaby' ya kipokomo ambayo ilitungwa na Mzee Galana Morowe Menza mwenyeji wa kule Tana River. Lullaby that became National Anthem
 
Back
Top Bottom