pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
The Kenyan national anthem is a masterpiece, melody and tune A1, words on point and the instrumental priceless. Nakumbuka dunia ilipopagawa na wimbo wa taifa la Kenya kwenye closing ceremony ya Rio Olympics 2016 kule Brazil. Soma comment zao kutoka twitter, kuna wale ambao walilia na kujivunia na hata hawakuwa wakenya. [emoji1] The world fell in love with Kenyaโs national anthem and we didnโt noticeI have seen our national anthem is a hit globally.Hata watoto wamarekani na britain hujifunza wimbo huu kwenye choir zao.
Ilhali youtuber mmoja anaitwa J.J. McCullogh amerank ya Tanzania among the wierdest national anthems.
And then listen to Mani (A Kenyan indian) singin our national anthem.