Angalau mara mbili kila siku, hasa kipindi cha Supermix, lazima wimbo wa Taifa upigwe. Nijuavyo wimbo huu ni kielelezo na heshima kwa Taifa na upigwapo aghalabu hupaswa kuashiria tukio lisilo la kawaida. Inakuwaje EA Radio mnaushushia hadhi?