Wimbo wa Taifa una hati miliki ya serikali kubadili beti au chochote kunataka

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Ukitaka kubadili chochote sharti kibalib na sharti Ni hili
Permission is granted at the discretion of the Government and may be subject to certain conditions, including:

  • the tune or the words of the Anthem may not be modified, parodied or demeaned
  • alternative words cannot be substituted for the words of the National Anthem.
Chadema Wana hatia hawakuomba kibali
 
Kwa hiyo nenda mahakamani ukawashitaki.
 
Ukitaka kubadili chochote sharti kibalib na sharti Ni hili
Permission is granted at the discretion of the Government and may be subject to certain conditions, including:

  • the tune or the words of the Anthem may not be modified, parodied or demeaned
  • alternative words cannot be substituted for the words of the National Anthem.
Chadema Wana hatia hawakuomba kibali
Wimbo uko mataifa manne wewe uje kusema una hatimiliki ya serikali?
 
Hati miliki ilikuwa granted na owner mwalimu wa shule ya msingi aliyeutunga kule afrika kusini zitumiwe na serikali za Afrika akaruhusu huo wimbo wa Nkosi Sikelele i Afrika yaani Mungu ibariki Afrika Chadema hawamo kwenye waliopewa hati miliki
Mwaka 1867 ni serikali zipi za Afrika zilipewa hati miliki na Enoch Sontonga ambae aliutunga kama wimbo wa kanisani?
Amandla...
 
Ule wimbo w taifa hata hivyo tumeuchoka, tuubadilishe.

Ngoma ya Marvin Gaye ya sexual healing iwe ndio wimbo wa taifa.
 
Hajui mumiliki wa wimbo wa taifa yule achana naye

Mali zinazomilikwa na serikali zote duniani Ni pamoja na wimbo wa taifa ziwe Marekani au nchi zote za jumuiya ya madola no Mali ya serikali
Kwa hiyo serikali ndiyo iliyoondoa neno Tanzania na kuweka Magufuli kama walivyoimba Uvccm Temeke?
 
Ukitaka kubadili chochote sharti kibalib na sharti Ni hili
Permission is granted at the discretion of the Government and may be subject to certain conditions, including:

  • the tune or the words of the Anthem may not be modified, parodied or demeaned
  • alternative words cannot be substituted for the words of the National Anthem.
Chadema Wana hatia hawakuomba kibali
Bush Lawyer anapiga ramli katika ubora wake. Unawezaje kuwa na hakimiliki kwenye wimbo uliokopi tyuni!
 
Ukitaka kubadili chochote sharti kibalib na sharti Ni hili
Permission is granted at the discretion of the Government and may be subject to certain conditions, including:

  • the tune or the words of the Anthem may not be modified, parodied or demeaned
  • alternative words cannot be substituted for the words of the National Anthem.
Chadema Wana hatia hawakuomba kibali
Mkuu, kinachopaswa kuwekwa wazi ni sheria ipi ambayo imevunjwa, na ni kifungu kipi hasa cha sheria hiyo kinachowaweka hatiani. Kwa nini watu wanauzunguka mbuyu wakati "facts" za kisheria zipo?
 
Hati miliki ilikuwa granted na owner mwalimu wa shule ya msingi aliyeutunga kule afrika kusini zitumiwe na serikali za Afrika akaruhusu huo wimbo wa Nkosi Sikelele i Afrika yaani Mungu ibariki Afrika Chadema hawamo kwenye waliopewa hati miliki
Mkuu onaga aibu. Hebu acha uongo.
 
Hivi kilichobadilishwa ni zile beti mbili za wimbo au walinogesha tu kwa kuongeza beti moja ambalo one can say huo ubeti ulikuwa wa kwao ni si part ya wimbo wa taifa.

Kama waliongeza au kubadili maneno kwenye beti mbili za wimbo nafikiri itakuwa si vizuri otherwise kwa beti yao ya tatu ni makelele tu na si sehemu ya wimbo wa taifa.
 
Nadhani mahakama ndiyo itaamua kama ni sahihi au si sahihi kuongeza au kupunguza maneno kwenye wimbo wa taifa.
 
Ulioimbwa haukuwa wimbo wa Taifa ulikuwa ni wimbo wa CHADEMA, wimbo wa Taifa hauna ubeti unaosema Mungu ibariki CHADEMA kama vile ambavyo vijana wa CCM wamesikika mahali fulani wakiimba Mungu mbariki Magufuli kwa kutumia tune ileile ya wimbo wa Taifa kama walivyofanya CHADEMA.
 
..waliimba wimbo wa taifa wenye beti mbili, wakamaliza.

..halafu wakaimba wimbo mwingine wa kukiombea dua chama chao na viongozi wao.

..nyimbo mbili tofauti.
 
Back
Top Bottom