Mimi natamani ule wimbo wa "Tazama ramani utaona nchi nzuri........" Ndiyo ungeboreshwa na kuwa wimbo wa Taifa.
Huu wimbo wa sasa na naona hauna tija! Kwanza tumedesa kutoka Afrika ya Kusini, Pili tunawaombea viongozi ambao kimsingi wengi wao hawatimizi wajibu na majukumu yao ipasavyo, na mwisho kabisa tunaliombea Bara la Afrika ambalo halina umoja wa kueleweka!