Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,252 Oct 11, 2017 #1 Hivi, Tangu mwaka 1962 wimbo wa Taifa unaimbwa lakini Video yake haijatoka Kwanini? Inamaana pesa za Serikali zinaenda wapi? Hazitoshi kutolea shutting? Hilo Nalo Ni JIPU!!! AU , UNAYO VIDEO YAKE! Unitumie,!
Hivi, Tangu mwaka 1962 wimbo wa Taifa unaimbwa lakini Video yake haijatoka Kwanini? Inamaana pesa za Serikali zinaenda wapi? Hazitoshi kutolea shutting? Hilo Nalo Ni JIPU!!! AU , UNAYO VIDEO YAKE! Unitumie,!
Jiwedogo JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 2,811 Reaction score 4,097 Oct 11, 2017 #2 Ndio sababu inaitwa wimbo wa taifa, na sio video ya taifa...
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,252 Oct 11, 2017 Thread starter #3 jiwedogo said: Ndio sababu inaitwa wimbo wa taifa, na sio video ya taifa... Click to expand... Acha kujitetea ... tunahitaji video sasa kama hawana pesa waseme!
jiwedogo said: Ndio sababu inaitwa wimbo wa taifa, na sio video ya taifa... Click to expand... Acha kujitetea ... tunahitaji video sasa kama hawana pesa waseme!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Oct 11, 2017 #4 Uchochezi huu sasa