Zito ndo tbs ya nyimbo za wasanii
Hasa wasanii wa kigoma .waha.
tofautisha kati ya akili na hisia, kupenda kunatokana na hisia na siyo akili, kama ingekuwa kupenda kunatokana na akili basi maprofesa na madr ndy wangekuwa na mapenzi ya kweli.Ukiwa na akili timamu lazima utaupenda huo wimbo.
Hadi kufikia umri wako unaamini mtu kuwa profesa au dokta ndo ana akili. Hii hasara ya taifa.tofautisha kati ya akili na hisia, kupenda kunatokana na hisia na siyo akili, kama ingekuwa kupenda kunatokana na akili basi maprofesa na madr ndy wangekuwa na mapenzi ya kweli.