Wimbo wa Yanga

washabiki wa simba bana !!! polen, anywai karibuni jmosi pale muone tunavyowaaibisha waarabu.
 
Wangempa hii tenda ya kuwatungia wimbo dully syke kama alivyowatungia tigo... Yanga bana hovyoo..
 
wasubiri kipigo cha mbweha mwitu tu....hakuna lolote.
 
Kama Taifa ilibidi simba aungane na Yanga kumpa mbinu za kuwachapa hawa wamisri bse simba huwa anawafungaja hawa several times
 
Tena wazushi tu tayari wanajua wimbo hupi wanaushindisha.
 
nakuamini sana kwenye masuala ya michezo ila leo umeboa broda.
Timu nyingi duniani zina anthem, sisi Simba tunayo 'Kidedea' ingawa sio formal lakini ndio utambulisho wetu.
Sasa sijui wewe unaumiaje Yanga wakiwa na wimbo?
Jinga wewe...
 
sijaponda wimbo wao kaka....ila nilikuwa nataka wa concentrate zaidi kwenye maandalizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…