Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakunywa nn mkuu, mi ntalipaWampe fundi kiba awafayie kiitikio la sivyo wataaribu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu Unaofanya diamond ni uonevu.
Yani wakati kaka yake na abdu kiba kamfuata star boy mwanza kumuomba collabo
Ila star boy baada tu yakumaliza show huko mwanza kapanda ndege kukufata wewe dar sio poa tuonee huruma plz.
Anakunywa oil chafu hahahaUnakunywa nn mkuu, mi ntalipa
Asante mkuu you made my dayAnakunywa oil chafu hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]hahahaha 🙂
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Anakunywa oil chafu hahaha
😀😀😀😀😀😀😀Huu Unaofanya diamond ni uonevu.
Yani wakati kaka yake na abdu kiba kamfuata star boy mwanza kumuomba collabo
Ila star boy baada tu yakumaliza show huko mwanza kapanda ndege kukufata wewe dar sio poa tuonee huruma plz.
Hatutaki kubishana na wew coz umeshakuwa affected na diamond let me let you talk much muchUnachekesha eti mchepuko umbusu halafu arushe...nanyi binadamu wengine mjifunze kuishi khaaa mmezidi na kulazimisha udaku.
Mtu asicheke na watu sababu ana mke na watoto..na hamjui kazi yake ilivyo au????!!!
Hayo kabusu ya shavu angewarushia kila anapopewa si mngesema...kila mmoja ni mchepuko wake. Muacheni our D avute pesa, kaeni pembeni...udaku hadala ya kusifia studio yake kaliiiiii inayotoa mengi mazuri...
Mtanyooka tu
Hatutaki kubishana na wew coz umeshakuwa affected na diamond let me let you talk much much