Wimbo wakushirikiana kati ya Diamond Platinumz Ft Wizkid unakuja

OGTV

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
353
Reaction score
167
Diamond Platinumz na Wizkid warekodi selfie video nakutupia mtandaoni kuwa wamekutana na wanatengeneza something new.

Katika video ameonekana mdada akimkiss diamond platinumz, pipoz zinasema mchepuko.

Pia shilole naye alidata kwa wizkid.

mbona hio collabo ya zamani tangu ile show ya wiz kipindi kile Dar..
labda marekebisho au mazungumzo ya kazi...
afu dada alomkiss anaitwa nelly, ni mdada mwenye shobo dundo tu..
 
Nani kanunua collabo kwa mwenzake hapo!?
 
Huu Unaofanya diamond ni uonevu.

Yani wakati kaka yake na abdu kiba kamfuata star boy mwanza kumuomba collabo

Ila star boy baada tu yakumaliza show huko mwanza kapanda ndege kukufata wewe dar sio poa tuonee huruma plz.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu Unaofanya diamond ni uonevu.

Yani wakati kaka yake na abdu kiba kamfuata star boy mwanza kumuomba collabo

Ila star boy baada tu yakumaliza show huko mwanza kapanda ndege kukufata wewe dar sio poa tuonee huruma plz.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwani Komando KIPENSI si alienda Mwanza kwa ajili ya kuonana na huyu wizkid..!?
Au hawakufanikiwa kuonana..!?
 
Unachekesha eti mchepuko umbusu halafu arushe...nanyi binadamu wengine mjifunze kuishi khaaa mmezidi na kulazimisha udaku.

Mtu asicheke na watu sababu ana mke na watoto..na hamjui kazi yake ilivyo au????!!!

Hayo kabusu ya shavu angewarushia kila anapopewa si mngesema...kila mmoja ni mchepuko wake. Muacheni our D avute pesa, kaeni pembeni...udaku hadala ya kusifia studio yake kaliiiiii inayotoa mengi mazuri...

Mtanyooka tu
 
Hatutaki kubishana na wew coz umeshakuwa affected na diamond let me let you talk much much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…