Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Tumebakiza masaa 2 tuweze kumuaga rafiki yetu huyu tuliekaa nae siku 365 na hatutamuona tena[emoji27] itabaki historia kua tuliwahi kuwa nae..
Siku ya leo huu wimbo ndio umenifungia mwaka 2018 na utanifungulia mwaka 2019.. mpaka sasa naona nimeusikiliza karibia x 200 ila siuchoki
Kwaya ya Joseph mfanyakazi kijenge-Arusha. . MIGUU YANGU.
unaruhusiwa kuweka wako tufurahi pia
Kwa wale wa Audio..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk