Wimbo wangu wa kufungia mwaka 2018

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Tumebakiza masaa 2 tuweze kumuaga rafiki yetu huyu tuliekaa nae siku 365 na hatutamuona tena[emoji27] itabaki historia kua tuliwahi kuwa nae..
Siku ya leo huu wimbo ndio umenifungia mwaka 2018 na utanifungulia mwaka 2019.. mpaka sasa naona nimeusikiliza karibia x 200 ila siuchoki
Kwaya ya Joseph mfanyakazi kijenge-Arusha. . MIGUU YANGU.
unaruhusiwa kuweka wako tufurahi pia
Kwa wale wa Audio..


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Nashindwa kuweka audio by Tapatalk

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
nko hapa na solex nataka kufunga mwaka kwa shangwe
 
tanzania bado tu huku china sasa ni mwaka 2019
 
Jibebe diamond
Kinanda mesen
Aibu nandy
Haleluya diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…