Wimbo ya Ibra 'Do Lemi Go'

Wimbo ya Ibra 'Do Lemi Go'

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Wakuu habarini za leo.

Poleni na majukumu na sakata la BET. Wimbo ya kijana wa KONDEGANG ibra mnaichukuliaje

Naiona ni nyimbo moja hatari sana na ubunifu wa kutisha je nyie mnaichukuliaje?

 
Back
Top Bottom