Wimbo ya Salome ya Diamond imeipoteza wimbo ya aje mtaani

Status
Not open for further replies.

chipa GM

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
1,815
Reaction score
2,973
Aisee huu wimbo wa Salome ni Shida sana mtaani kuanzia kitaa, club na bar..!! KwA wiki tatu sasa hii ngoma bado inasumbua mtaa. Miye ni Timu Tanzania, japo ukweli ni kuwa Daimond huwezi kumcopare na allykiba.. Yule jamaa wa Tandale ni next level..!! But tanzania tunahitaji wakina daimond km 15 hivi...! Aje ilifanya Poa sana mwanzoni nadhani ndo wimbo uliomrudisha ally kiba kwenye peak. Ally ukitoa Nyimbo Kama aje kama nne hivi utakuwa Unaleta ushindani wa kweli achana na Hizi siasa za Mitandaoni ambazo zinataka kufananisha mto na bahari..!
Aje allykiba pale ulitulia Sana Mzee..but punguza collabo na Wasanii wa ndani. Nyimbo nying unazo shirikishwa hazina ubora wa kimataifa.. Unabisha Angalia MTV Africa, trace au hata mapokeo YouTube..!​
 
Aje aje aje
Natafuta kiki
Kamatia.chini

Na.bapa.linashuka kwa nyimbo tamu tamu

Kwasasa tua sugu

Salome ilikuja speeda ya supersonic ilikuwa km wimbo wa taifa ila imenichosha haraka

Hata hapa bar kitaka chagua nyimbo ya domo.nachagua
Nataka kulewa
Nana
My number one sweet sweeet
Nk

Ila kuna nyimbo.sijawai ielewa hii inaitwaa KIDOGO
 
Leo nipk harusini sijasikia nyimbo ya king ata moja. Ni salome na kidogo tu
 
Yani club na bar wanakua wanapiga nyimbo moja tu ya Salome tangu asubuhi hadi usiku?
 
Kweli aje ata mm siisikii tena ata hu wimbo mpya kajiandae naona kama unapotea iv coz haujamaliza ata wiki
 
Kuna hatar ya mtu kupumzika tena kilufanya mziki maana katoa ngoma nying sana lkn naona kama zote zimeangukia pua
 
Kuna hatar ya mtu kupumzika tena kilufanya mziki maana katoa ngoma nying sana lkn naona kama zote zimeangukia pua
Juzi Alikuwa Times FM Anasema Nyimbo Nzuri Hazipati Airtime Nyingi Kwa Media.Itakuwa Kaanza Kuisoma Namba
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…