Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Duh haya mashairi mazuri ya mwanamuziki Diamond kwenye wimbo yatapita yanatukumbusha msoto majeraha kipindi cha mwendazake aisee watu waliteseka balaa matajiri wakafirisiwa, watu waliuawa hovyoo na kutupwa baharini kama vifurushi, wasomi walikosa matumaini na elimu zao zilikosa thamani kabisa.