Hii huitaji kukununua vitu maalum vya solar or wind turbine, unaweza kutumia vitu vyako vya kawaida, nina mtu nimemnunulia inverter kutoka Germany, na anatumia solar panels, resulting ya inverter hio ananiambia anatumia fridge 3, tv, ispokua taa kaweka 12v
Air conditioning anatumia ya 1kg.
Energy saving yake ni 1kw =1000w
Before alikuwa anatumia inverter ya kichina 3000w lakini ilikuwa ina over heating, nikamshauri auze nimnunue nyengine, ndio nikamaliza tatizo lake, jawabu alilo kuja kunambia ni kwamba, hata kama saving energy yake ni ndogo inverter ina increase power na kuwa kama kawaida unbelievable, mpaka leo hii ananishukuru sana.
Ikiwa unatumia solar or wind turbine na matumizi yako ya nyumba ni makubwa lazima upate inverter kuanzia 2500w, hata kama solar panels yako ni 1000w,
Wind turbine lazima uwe na controller charge, inverter and batteries kama solar vile.