Wind turbine energy

Miunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
530
Reaction score
182
View attachment 3021063kw sawa na 3000
48v
Uwezo wa Kuzalisha Umeme wa kutosha kwa matumizi ya nyumba ya kawaida, taa,fridge, TV, air condition, water pump. From USA from Germany or Italia
3kw
48v
 
circuit breaker for solar system or wind turbine.
100A
 
Hii siyo kama solar? Maana sollar lazima ununue taa, tv, pasi e.t.c vinavyo support technologia hiyo.
 
Naipataje hii? Mwenye contact na supplier please ani pm
 
Hii siyo kama solar? Maana sollar lazima ununue taa, tv, pasi e.t.c vinavyo support technologia hiyo.

Hii huitaji kukununua vitu maalum vya solar or wind turbine, unaweza kutumia vitu vyako vya kawaida, nina mtu nimemnunulia inverter kutoka Germany, na anatumia solar panels, resulting ya inverter hio ananiambia anatumia fridge 3, tv, ispokua taa kaweka 12v
Air conditioning anatumia ya 1kg.
Energy saving yake ni 1kw =1000w
Before alikuwa anatumia inverter ya kichina 3000w lakini ilikuwa ina over heating, nikamshauri auze nimnunue nyengine, ndio nikamaliza tatizo lake, jawabu alilo kuja kunambia ni kwamba, hata kama saving energy yake ni ndogo inverter ina increase power na kuwa kama kawaida unbelievable, mpaka leo hii ananishukuru sana.
Ikiwa unatumia solar or wind turbine na matumizi yako ya nyumba ni makubwa lazima upate inverter kuanzia 2500w, hata kama solar panels yako ni 1000w,
Wind turbine lazima uwe na controller charge, inverter and batteries kama solar vile.
 
Mkuu wastan hii kitu kwa nyumba ya kawaida inagharimu shlingi ngapi?
 
Mkuu cha muhimu kabla ya biashara uwafafanulie watu upepo wa kiasi gani unahitajika ili hio wind turbine iweze kufanya kazi..., as far as I know sio kila sehemu au kila kaupepo kanauwezo wa kuzalisha umeme, hususan mijini na magorofa na hindrance nyingi ni vigumu kupata upepo wa kuzungusha hizi turbines
 
Ungeweka namba hapa
na bei za vifaa
na ofisi ilipo
sio wote wanao pita ni members
kuna guests pia
 
Ungeweka namba hapa
na bei za vifaa
na ofisi ilipo
sio wote wanao pita ni members
kuna guests pia

Mkuu sina office

Nipo Uk, sio mfanya biashara official napokea order tu kutoka kwa customers wangu.

Bei inategemea na watts ngapi
Kwa mfano 12v wind turbine 500watts bei ?400 including controller charge and shipping to dar es salaam

Inverter inategemea na ukubwa, ukihitaji bei yake mbali.
 



400 ni pound? au dollars ?
uko JF kipindi chote?
au kuna kipindi unapotea? mfano labda mwakani katikati nikuagize
 
400 ni pound? au dollars ?
uko JF kipindi chote?
au kuna kipindi unapotea? mfano labda mwakani katikati nikuagize

Pounds mkuu, nipo muda wote, I don't missed in JF mkuu. Wakati wowote nitafute.
 

Mkuu
Ni.maeneo ya wazi ambayo yasiyo kuwa na uzingo wa upepo kutoka kila direction, kwa mfano kariakoo huwezi kufunga nyumba ya chini labda juu ya gorofa.
 

Attachments

  • 1451158949980.jpg
    9.6 KB · Views: 95
  • 1451158962154.jpg
    50.4 KB · Views: 87
  • 1451158982947.jpg
    79 KB · Views: 94
  • 1451158993643.jpg
    18.7 KB · Views: 88

Asante mkuu. Sasa kama najipiga nanunua lile feni 1 na accessories zake! Je linaweza kuzalisha umeme ambao unaweza kutumia vitu gan ndani ya nyumba?
 
Asante mkuu. Sasa kama najipiga nanunua lile feni 1 na accessories zake! Je linaweza kuzalisha umeme ambao unaweza kutumia vitu gan ndani ya nyumba?

Mkuu
Inategemea na vitu,kama una vitu latest vya kileo ambavyo ulaji wa umeme ni less, basi unaweza kutumia 500w

Fridge
Tv
Fan
Light -taa 12v
Kuna taa zinauzwa dar es salaam 12v light LED, utasave energy ya kutosha, vitu vidogo vidogo vya muda mchache havina tatizo.

Wind turbine 500w
Upate battery 450 amp

Lakini zaidi ninakushauri tafuta fundi umeme hapo ulipo aje kufanyie hesabu vya vitu vya umeme ndani ya nyumba yako,ili upate hesabu kamili ya matumizi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…