Window 10 pro activation key

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Wataalam habari zenu. Naomba msaada wenu kama itawapendeza.

Bila kufahamu nilifanya updates ya window 10 na kujikuta tayari imekuwa window 10 pro na sasa inaomba nifanye change of key.

All microsoft softwares zimesimama kufanya kazi. Microsoft offices zimegima, outlook nayo imegoma.

Please, kama una valid keys nisaidie maana vyuma vimekaza kwa sasa sina bajet ya kununua key mpya.

Au mnaweza nishauri namna ya kufanya.

Ahsanteni.
 
Fuata ushauri wa mdau apo.. Lasivyo utumie window and office activator yakimagumashi kama KMSAuto
 
Fuata ushauri wa mdau apo.. Lasivyo utumie window and office activator yakimagumashi kama KMSAuto
Ndugu KMS sio ya kimagumashi,hii ni kweli na hakika๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hii ndio nasikia leo. Ni official?
Nahitaji Windows kwa ajili ya VirtualBox
Usipolipia windows wanatoa tu uwezo wa kubadili desktop wallpaper Na wanaweka watermark yao Activate windows.

Na yenyewe pia unaweza kubypass unaenda file explorer na ku right click picha kisha chagua set as desktop background.

Siku hizi windows ni bure tu, hasa kwa sisi wateja wa kawaida
 
That's interesting. Download link?
 
Kwa maitaji na huduma ya software's and maintenance za Pc and Desk top
Karibuni no zangu hizi
0714894219
0682202114
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ