Window 7 Partion Software

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
356
Hi JF..Team


Niko Na Laptop yenyee window 7 OS.Na 500GB HDD.Nataka kufanya partion ya hii hard disk katika makundi matatu.

Lakini naona internal feature ya kufanya partion kutumia window 7 inakuwa kama haiko active.Kwa kuwa maelekezo yaliyoko pale unafika wakati inapo kwambia roght click in black are and...etc hapo hiyo black and black uki right click hupati option ingine...if anything haikubali.

Kama kuna mtu alisha wahi fanya operation hii na kufanikiwa..pls naomba msaada na kama kuna software itakuwa nzuri sana.
 
Buswelu.
Ukiwa kwa kwanza kua acquire teknolojia fulani usitegemee msaada kwa watu wasiokuwa na teknolojia hiyo. naamini mko wachache sana wenye dirisha saba . Binafsi mpaka leo hii mimi nina XP.

Cheki kama Partition magic wamshatoa tool ya kufanya makaratel hayo kwenye window 7. jaribu ku gugo. kuna tool nyingine pia inaitwa GHOST walikuwa wana tool za kufanya re-partion ha ma HDD.

Ila ukipata solution nyingine yeyote ni vizuri utujuvye. Baada ya mwaka sinnce iwe lauched nitaangaliw auwezekano wa kuwa na WIndow 7.
 
Kitu gani hakipo kwenye hiyo Windows yako? Kwanza hakikisha wewe ni Admin, right click My Computer, chagua manage, nenda kwenye Disk management, right click hiyo C drive yako chagua Shrink, ipunguze mpaka kiasi unachotaka C iwe. Ukimaliza kushrink utakuwa na UnPartitioned space, right click hiyo halafu tengeneza partition mpya from hiyo unpartitioned space.

Note: Kushrink inabidi uwe na continuous free space, so ikikataa kushrink inabidi ifanye defragmentation ile files zipangwe vizuri kwenye HD.
 
Ok...Kang Nilidownload software flan kwenye link moja inaitwa Partion Wizard Home.Ndio Imenisaidia..Nimefanikiwa zoezi hilo Jana Mchana.

Thanks kang kwa maelezo hayo..na yanafanya kazi..nimejaribu kwa pc ingine hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…