Window inakataa Kuinstall

Window inakataa Kuinstall

Jaribu kutumia installer nyingine ya windows, huenda hiyo ina shida.
 
Kama walivyoshauri hapo juu, tafuta windows mpya/nyingine. Usiangaike na hiyo iliyokataa
 
  • Thanks
Reactions: aad
Ukitumia windows nyingine ikikataa, jaribu kubadilisha Hard disk.
Kabla hajafika mbali aangalie kama Flash anayotumia ina matatizo. Mi' kuna kipindi nilijaribu ku"boot" windows zaidi ya mara tatu nikitumia softwares tofauti (Anyburn, Power Iso na Rufus) na mara zote hizo ilikuwa inashindikana kwa windows kuwa detected yaani nikifika sehemu ya kuchagua disk ya ku"install-lia" windows napata ujumbe kwamba hamna windows/files zime"miss".

Baada ya kubadili flash tatizo likikuwa solved immediately
 
  • Thanks
Reactions: aad
ahsante wakuu nimesolve tatizo tayari ahsanteni kwa ushirikiano na mawazo yenu tayari nimeweka window 10 kwa kutumia setup nyingine, lakini sasa tatizo la hii window sio sehemu ya kupunguza brightness , nifanyaje niweze kupunguza brightness naomba mnisaidie na hili wakuu.

au kama nitaweza kupata driver booster au driver pack ambayo itakuwa ni free itasaidia sana ,maana nimedownload za mtandaoni naona zinakataa ku-update inahita kulipia
 
Search device manager then update display drivers
 
Chief-Mkwawa mkuu msaada tutani Hp chromebook yangu inaandika waiting for local session manager.. inatoa mwanga wa blue na zile options pekee za kuzima na internet bas... nimejaribu kureset nimeshindwa maana naona ni model mpya sijui... naomba msaada kuna lolote linaweza nisaidia natanguliza shukran zangu

window inatumia window 10 home
 
Back
Top Bottom