C chinga 1 Member Joined Jan 6, 2011 Posts 14 Reaction score 0 Mar 29, 2011 #1 Habari zenu jamani natumai hamjambo! Pleasee nisaidieni jinsi ya kufanya istallation ya window server 2003 na pia nataka kujua kama inawezekana kuistall window server 2003 kwenye machinw yenye window 7 , jamani nisaidieni nina mtihani ijumaa so nataka kufanya mazoezi Chinga1 - www.chinga2010.blogspot.com
Habari zenu jamani natumai hamjambo! Pleasee nisaidieni jinsi ya kufanya istallation ya window server 2003 na pia nataka kujua kama inawezekana kuistall window server 2003 kwenye machinw yenye window 7 , jamani nisaidieni nina mtihani ijumaa so nataka kufanya mazoezi Chinga1 - www.chinga2010.blogspot.com