Window type Air Conditioners Vs Split Unit type. Comparison!

Window type Air Conditioners Vs Split Unit type. Comparison!

Soki

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
1,303
Reaction score
279
Nasikia AC za split unit ni energy saver kuliko ile aina nyingine ya split unit. Wengine wanasema Window type ni durable kuliko split units. Je zinaweza kulinganishwaje in terms of power consumption, durability, price, etc. Mimi natumia window type na ninawaza kununua split unit. Na ofisi ya mita 4 kwa 4 (upana kwa urefu) inahitaji kiyoyozi cha power gani? Naomba msaada kwa mwenye uelewa wa vifaa hivi
 
Split unit a/c window a/c

silent noisy
indoor & outdoor unit both in one place

more space less space

if cooling power(btu) is the same ,energy usage will be the same.
 
Split unit a/c window a/c

silent noisy
indoor & outdoor unit both in one place

more space less space

if cooling power(btu) is the same ,energy usage will be the same.


Asante Mkuu. Lakini ikiwa power (btu) zikiwa sawa, power consumption inakuwa the same, SASA HOJA YA KWAMBA SPLIT UNITS ZINA SAVE ENERGY INAKUJAJE?
 
What about power consumption?
 
Back
Top Bottom