Nasikia AC za split unit ni energy saver kuliko ile aina nyingine ya split unit. Wengine wanasema Window type ni durable kuliko split units. Je zinaweza kulinganishwaje in terms of power consumption, durability, price, etc. Mimi natumia window type na ninawaza kununua split unit. Na ofisi ya mita 4 kwa 4 (upana kwa urefu) inahitaji kiyoyozi cha power gani? Naomba msaada kwa mwenye uelewa wa vifaa hivi