Windows 7,8, 10, 11. Okoa kifurushi Cha Intaneti na data saver 99%

Joined
Apr 12, 2025
Posts
99
Reaction score
80
Data saver 99% software inasaidia kudhibiti matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti kwa kuchagua programu gani itumie intaneti kwa wakati unaotaka kwenye kompyuta (Windows OS 7, 8, 10, 11) yako. Programu inauzwa 30,000 Tsh.

Kumbuka bila kuwa na hii programu kifurushi Chako Cha Intaneti kitakuwa kinatumika ndani kwa ndani (background) na programu mbali mbali na windows OS updates, ukiwa na hii programu utaweza kudhibiti.

Mawasiliano: 0756704145

Mahali pakufanyia kazi Mlimani City
Kama unaswali uliza?

 
-> kudhibiti matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti
-> kuzuia windows OS kujiupdati bila ridhaa Yako
-> kuzuia programu zinazotumia intaneti ndani kwa ndani (background usage)

Gharama: 30,000 Tsh

Dar es Salaam, Mlimani City
 
Okoa 99% ya kifurushi Chako Cha Intaneti kwenye kompyuta Yako (windows OS 7, 8, 19, 11)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…