windows 7 professional

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
643
Reaction score
153
Wakuu naomba msaada wenu.Mi na2mia dell d620 yenye windows 7prof.niliyonunua kupitia humo ndani.Lap hiyo ina tatizo upande wa administrator desktop icons zote zimekuwa overshadowed by window media player. Ninapofungua mfano nokia pc suit inakuja windows media player.aidha sina cd ya os hiyo cjui nifanyeje?
 
your software has been corupted or a virus problem try formating it

Mkuu mimi si mtaalamu lakini sidhani kama imecorupt, iliwahi kunitokea ila sikumbuki nilifanyaje ikakaa sawa, ngoja nikifika home nikiwa na pc naweza kumbuku.
wapo wataalamu watakueleza ni very simple
 
your software has been corupted or a virus problem try formating it


Usiformat, jaribu kufanya system restore!, nenda start then andika system restore then fuata steps zinanzofuata.bi lazima uwe unakumbuka tarehe ambayo hiyo kitu iliharibika then kwenye system restore rudisha yuma zaid ya tarehe ambayo mambo yaliharibika inaeza kusaidia, ikipona useme na isipopona pia sema ili wote Tujifundhe
 
Jaribu hii kama una player zaidi ya moja , chagua wimbo wowote then right click, nenda open with kisha chagua player nyingine uplay.
Rudi kwa feed back tafadhali ili tujue
 
Jaribu hii kama una player zaidi ya moja , chagua wimbo wowote then right click, nenda open with kisha chagua player nyingine uplay.
Rudi kwa feed back tafadhali ili tujue
nimejaribu nina players nyingi lkn bado tatizo bado ni lile lile.thanks for taking trouble
 
Jaribu kutengeneza User Account nyingine, nenda start->control panel->Add or remove user accounts->Create new account...

Kisha jaribu kutumia account hiyo.
 
Inawezekana user proifle ina tatizo.

  • to prove if this is or is not the problem Tengenza log in name mpya nyingine ujaribu kuona kama tatizo hilo litakuwepo.
Otherwise fanya system restore kama ulishauriwa na jamaa u hutapoteza kitu chakochochote kila iwe ni data au program
 

user account nyingine ninayo yenyewe haina shida ila 2 kuna wakati inanilimit activities fulani
 
 
cd nnazo zte 7,vsta,na modified xp...tatzo nko rock city!
 
cd nnazo zte 7,vsta,na modified xp...tatzo nko rock city!

hilo co tatizo kwani mimi naishi kahama halafu nina jamaa yangu anatoka mwanza kesho kuja kwangu.kama utakuwa na nafac unaweza kumpa yeye aniletee.ma mob no 0769623283
 
Mkuu ninatatizo kama lako, exe file zote hazifunguki na zimebadili muonekano wa icon zake ktk desktop na taskbar, siwezi tena kutumia windows media center, sasatel modem nk
Msaada tafadhali
 
Mkuu ninatatizo kama lako, exe file zote hazifunguki na zimebadili muonekano wa icon zake ktk desktop na taskbar, siwezi tena kutumia windows media center, sasatel modem nk
Msaada tafadhali
kama una2mia w7 unatakiwa kuidelete hiyo account.km hiyo account ni administrator hakikisha unaibadili kuwa standard vinginevyo haitakubali kufutika.wakati unadelete itakuambia usave files zote except emails.hakikisha umezisave kabla hujadelete.nafikiri nimekusaidia. Nijulishe kwa lolote litakalotokea.
 

Mkuu nimefanya kama ulivyosema lakini tatizo liko pale pale.
Baada ya google ya muda mrefu nimepata site moja inasolution ya hii kitu, am working on it, i will come back for feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…