Naomba msaada wenu wana jf. Kuna laptop nimenunua aliyeniuzia alikuwa ameinstall window xp. sasas imekuja kuva lidate.na inanipa msg ya "this copy of windows did not pass genuine windows validation" hii msg inajitokeza kila mara na inasumbua sana.Mwenya kujua namna ya kuiondosha hii msg naomba atuelimishe
Gambler,
Utatuzi wa shida yako sio kuondoa hiyo msg, haitatoka. Cha kufanya ni kuweka windows nyingine genuine katika hiyo tarakilishi yako, kwa kuondoa hiyo iliyopo. Muone fundi yeyote wa PC aliye karibu yako, huenda anayo hiyo windows XP genuine. Km uko DSM ama maeneo ya jirani naweza kukusaidia.
Kila la kheri.