Windows Media Player

BelindaJacob

Platinum Member
Joined
Nov 24, 2008
Posts
6,474
Reaction score
4,039
Habari JF!

Kuna movie najaribu kuaangalia kutumia windows media player ila haitoi sauti kabisa,nimetumiwa na kutoka computer mbili tofauti na walionitumia kwao wanaangalia na sauti inatoka.

Nikisikiliza music na youtube videos sauti inatoka vizuri kabisa.

Naomba nielemilishwe!

asanteni.
 
Last edited:
Pia waweza kujaribu VLC media player; ni free na yafanya kazi fresh sana.
 
Asanteni wakuu,nime-download zote.
Sasahivi sauti inatoka vizuri, movie yenyewe ya zamani kiaina 'Office Space'.

Be blessed!
 
Safi sana kwa darasa,
Swali moja la nyongeza nimecopy audio music kwa kutumia flash disk kutoka cumputer moja na nikicopy kwenye computer nyingine inacopy vizuri na kucheza vizuri. ila nikitoa flash disk music yote haichezi mpaka nirudishe flash disk,Nifanyeje ili music iweze kucheza vizuri?
 
Labda umeweka shortcut icon ya hiyo track ina kama kaalama cheupe ? Hivi pembeni ? Hiyo huwa inatokea pia unapocheza music direct kutoka kwenye cd wengi wanacopy shortcut wakiondoa cd hazichezi kumbe ni hivyo wakati mwingine pia kuna baadhi ya cd na music zina licence fulani hivi kwahiyo unapoingiza katika computer lazima udownload hiyo licence kutoka tovuti ya microsoft kama ziko protected

kazi kwako
 
Nashukuru sana shy,nitajaribu kufuata ushauri.
 
jaribu ukiwa bado umeweka flash na ina-play click RIP kwenye window media player ndio itazi-copy moja kwa moja kwenye library ya window media player
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…