Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
Right click My Computer, changua Manage, chagua Disk Management, Right click Drive C: Chagua Shrink Volume, weka size unayotaka C iwe.
Ukisha shrink utakuwa na unallocated space, right click hiyo unallocated space then select new volume, weka size unayotaka D iwe etc >>Finish. Itatengeneza drive D.
Right click unalloccated space iliyobaki kisha rudia hatua kutengeneza drive E.
OK mkuu sasa nimefanikiwa lakini mbona haitaki kugawa kwani inanipa Mb na mimi nataka hiyo HDD 110GB niigawe mara tatu 36.5GB kila moja sasa nitafanyaje kwani inanipa MB 220 tu sasa naomba maelekezo tena mkuu!!
Unajua Mkuu HDD imebakiza 20.5 BG sasa wewe unasema 36.5 ninini? MB au GB. sasa naomba ushauri nimedawnload inakataa kwani natumia Vista Home Basic sasa nifanyeje mkuu usichoke
Kwa hiyo tiba uliyompa asipopona kiboko!!ukweli hivyo ndivyo anavyotakiwa afanye!!Hauwezi ku shrink zaidi ya freespace kama unataka drive C iwe na 36.5GB itabidi usiwe na data zaidi ya hizo 36.5GB, actually chini zaidi maana kuna system files na vitu kama hivyo.
Imekataa kivipi? Hiyo program inafanya kazi kwenye Vista.
Hauwezi ku shrink zaidi ya freespace kama unataka drive C iwe na 36.5GB itabidi usiwe na data zaidi ya hizo 36.5GB, actually chini zaidi maana kuna system files na vitu kama hivyo.
Imekataa kivipi? Hiyo program inafanya kazi kwenye Vista.
Sawa Mkuu basi inawezekana ku copy data zote then niweze ku shrink? kama inawezekana niweke kwenye External Hard Drive data zote nibakishe Program tu kisha niweze ku shrink? Pia natumia Ant virus ya Kersperk labda ndo ina Block au maana ninayo hapa na net ipo faster nime i save katika desktop yangu nasikiliza ushauri wako mkuu sasa nifanyeje?