Windows vista...

Windows vista...

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2007
Posts
1,407
Reaction score
161
habari wanaJF? nina shida ya windows vista naomba mwenye nayo tuwasiliane tafadhali, kwa walio tanzania tu.pia mwenye windows xp prol sp2 ,isiwe fake.
tumsaml@gmail.com
 
pundit kama unaweza kuniuzia ni vizuri pia,ila fake sitaki
 
Ndugu Njia Nzuri Zaidi Ni Kwenda Madukani Kununua Ziko Original Kabisa Hizo Huna Wasi Wasi Nao Wowote Ule Hiyo Windows Vista Pamoja Na Windows Xp
 
Kama unazo hizo software mimi naweza kukusaidia na keys zake kama njia rahisi zaidi ambazo ni genuine ,nafikiri unajua jinsi zinavyokuwa applied

Thanks
 
ndio ninayo Windows XP Professional sp2,ndugu hapo juu nitashukuru sana kama utanipatia key zake,maana siwezi ku'update windows maana ni fake,pia yenyewe ina key zake ila napotakiwa ku-install software za microsoft wananiambia siwezi kwani copy ya windows XP ninayo tumia sio halali.
 
ndio Ninayo Windows Xp Professional Sp2,ndugu Hapo Juu Nitashukuru Sana Kama Utanipatia Key Zake,maana Siwezi Ku'update Windows Maana Ni Fake,pia Yenyewe Ina Key Zake Ila Napotakiwa Ku-install Software Za Microsoft Wananiambia Siwezi Kwani Copy Ya Windows Xp Ninayo Tumia Sio Halali.. Ndugu Naomba Unisaidie Kwa Hilo Maana Mimi Bado Mwanafunzi Kwenye Maswala Ya Sofware.

Sasa Unataka Za Vista Au Windows Xp ?
 
Kama unazo hizo software mimi naweza kukusaidia na keys zake kama njia rahisi zaidi ambazo ni genuine ,nafikiri unajua jinsi zinavyokuwa applied

Thanks
software ninazo za windows XP tu, hapana sijui zinakuwa applied namna gani rafiki naomba unieleweshe maana tupo hapa kueleweshana ndugu.
 
..nenda power computers pale mkabala na cbe, au kwengineko.

..lazima hela ikutoke,kama shs 180,000/= na kuendelea.
 
..nenda power computers pale mkabala na cbe, au kwengineko.

..lazima hela ikutoke,kama shs 180,000/= na kuendelea.

Asante kwa taarifa, huku sie tunanunua kwa laki tatu na ushee, duh!! kumbe dar ni nafuu, thx
 
software ninazo za windows XP tu, hapana sijui zinakuwa applied namna gani rafiki naomba unieleweshe maana tupo hapa kueleweshana ndugu.
Angalia Members ONLY forums unaweza kukumbana na kitu cha kukusaidia.

Poa?
 
Back
Top Bottom