Unatakiwa uwe na cd ya windows xp service park 2 yenye driver za sata au windows xp sp 3 inazo sata drivers , hata uki disable sata kuna mashine zitakataa kama cd yako haina drivers
kama mashine yako ni toshiba nijulishe naweza kukuonyesha njia nyingine nzuri