Je umeangalia vitu vingine kama viko salama kama HDD ingawa HDD mara nyingi inaweza kuwa ina ganda au unapotumia tu inaanza kuwa slow kisha ina zima au kurestart yenyewe , Memory hii ni pindi unapotaka kukopy kitu kwenda sehemu nyingine inaweza kukataa au kuzima moja .
Nakushauri uangalie vitu vingine vya hardware kwanza