T-Bagwell JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 1,243 Reaction score 2,378 May 16, 2017 #1 Hackers wanaoitwa Shadow Blockers wameachia virus wa ku hack computer zote zenye windows XP na kuiba data zako. Hiyo yote ni kutokana na Microsoft waliacha kutoa updates za kuilinda hiyo Windows XP mnamo mwaka 2014.
Hackers wanaoitwa Shadow Blockers wameachia virus wa ku hack computer zote zenye windows XP na kuiba data zako. Hiyo yote ni kutokana na Microsoft waliacha kutoa updates za kuilinda hiyo Windows XP mnamo mwaka 2014.
That Gentleman JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,215 Reaction score 3,678 May 16, 2017 #2 dah...!
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 29,968 May 16, 2017 #3 Hiv bado kuna matumiz ya Xp kwenye hzi big companies?