Tetesi: Windows XP ipo hatarini, waambie ambao bado wanatumia wasome hapa;

T-Bagwell

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
1,243
Reaction score
2,378
Hackers wanaoitwa Shadow Blockers wameachia virus wa ku hack computer zote zenye windows XP na kuiba data zako.

Hiyo yote ni kutokana na Microsoft waliacha kutoa updates za kuilinda hiyo Windows XP mnamo mwaka 2014.
 
Hiv bado kuna matumiz ya Xp kwenye hzi big companies?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…