Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ubaya kwani inainstall important updates za windows pamoja programs zingine.... ila watu wanaotumia modem hua wanazidiactivate kuhofia kumaliza kifurushi wanachokua nacho, kwani updates zinajidownload automatically.... ila nivizuri zikiwa onsalaam wanajamii.....hivi kuna uzuri wowote ama ubaya wa kuactivate windows auto update ya pc yako?
Hakuna ubaya kwani inainstall important updates za windows pamoja programs zingine.... ila watu wanaotumia modem hua wanazidiactivate kuhofia kumaliza kifurushi wanachokua nacho, kwani updates zinajidownload automatically.... ila nivizuri zikiwa on