Hakuna ubaya kwani inainstall important updates za windows pamoja programs zingine.... ila watu wanaotumia modem hua wanazidiactivate kuhofia kumaliza kifurushi wanachokua nacho, kwani updates zinajidownload automatically.... ila nivizuri zikiwa on