Habari zenyu wadau, kuna hii teknolojia ya 'kuripea' kioo cha gari kilichopata ufa(nyufa) nimeiona youtube. Yaani kuna repair kit fulani unaitumia ambayo inaziba ufa ambao upo kwenye kioo chako cha gari. JE, Teknolojia hii imeshaingia Bongo?kama ndio ni wapi naweza kupata huduma hii?