nyambari
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 355
- 171
siku moja baba yake john alikukuta wine yake nyumbani imepungua ikiwa na maana kwamba kuna mtu aliikunywa basi baba john akamuita john akiwa jikoni na kuumuliza 'john nani amekunywa wine yangu john akakaa kimya bila kujibu baba yakecakarudia mara tatu bila mafanikio ikabidi amfuate jikoni na kumuuliza tena ina maana hujasikia swali langu john akajibu hapana baba sjiakusikia labda na wewe uende ndani ilii na mimi nikuulize tuone kama utasikia baba akasema sawa john akaenda ndani na kumuuliza baba yake "baba nani kampa housegirl mimba ?" hapakuwa na jibu john akarudia mara tatu nyingiune bila majibu akaenda jikon na kumuuliza mshua vipi baba umesikia mshua akasema hapana sijasikia ikawa ngoma droo kila mtu akala hamsin zake