Winga Mutale winga Balua

Hii balua ni homa ya vipindi, kuna siku anakufurahisha, kuna siku anakuwa BARUA ya DAZ NUNDAZ anakuhuzunisha tu..

Ili awe mchezaji bora ama tegemeo, lazima kiwango chake kiwe bora kwenye game kubwa na kisiwe cha kukata kata.
 
😄😄Eti hii balua
 
Tukishinda hii mechi nanunua jezi ya mnyama, tukifungwa nahamia jangwani.
#RahaJuuYaRaha
 
Mutale huyu anaekimbia kichwa chini kama kondoo aliekata kamba..
 
Mutale huyuhuyu ambaye pasi zake nyingi hazikukamilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…