Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Mkuu mshauri mzee baba a cancel manunuzi ndege zaidi ajenge miundombinu umwagiliaji.Tuvune maji ya ziada. Kisha masoko mkakati viwanda ndani na nje. Tutapunguza tatizo la ajira na wazururaji mijini kwa asilimia kubwa. Multiplier effect yake kubwa sana kwa viwanda- uhakika malighafi nyakati zote, ajira na bidhaa kusafirisha ktk miundombinu,kodi nkPole Mkuu Endelea kupambana usikate tamaa
Ungeotesha mahindi ya kuchoma December upige pesa
Store keeper wa mvua mbinguni kajisahau amefungua koki yupo bar anagida ugimbi huku tunataabikaMvua kila kona, mvua isiyokatika, usiku na mchana inagonga tu aisee.
Tushamwaga mbegu , tunalea vitaru na kuna plots tumehamishia nyanya mashambani ila kwa hizi mvua duu kazi ipo.
Dawa kila siku. Mvua inapukutisha maua ya nyanya...miche kitaruni inapata ugonjwa wa kiuno, inakatika katikati...
Kazi ipo.
Mimi zimeniharibia nyanya mashina 9000. Majani yamepukutika yote na nyanya zimekataa kunenepa. Sidhani km nitapata hata tenga 200.Mvua kila kona, mvua isiyokatika, usiku na mchana inagonga tu aisee.
Tushamwaga mbegu , tunalea vitaru na kuna plots tumehamishia nyanya mashambani ila kwa hizi mvua duu kazi ipo.
Dawa kila siku. Mvua inapukutisha maua ya nyanya...miche kitaruni inapata ugonjwa wa kiuno, inakatika katikati...
Kazi ipo.
Tenga 200 unakuja kutana Na bei ya sh elfu 5 kwa tenga.Mimi zimeniharibia nyanya mashina 9000. Majani yamepukutika yote na nyanya zimekataa kunenepa. Sidhani km nitapata hata tenga 200.
Tenga 200 unakuja kutana Na bei ya sh elfu 5 kwa tenga.Mimi zimeniharibia nyanya mashina 9000. Majani yamepukutika yote na nyanya zimekataa kunenepa. Sidhani km nitapata hata tenga 200.
Vipi huko uliko,bei zikojeTenga 200 unakuja kutana Na bei ya sh elfu 5 kwa tenga.
Nyanya ni kama betting. Mwezi wa 9 tenga moja ilikua elf 4 saizi elfu 25. Huko mnalalamika mvua mtu atapambana atatumia gharama kubwa akijjua wakati wa mavuno watakua wamebaki wachache wapambanaji huku kwetu hakuna mvua na saiz watu wamelima Nyanya kwa fujo wanakuja kukutana Na ninyi sokon soko linaharibikaVipi huko uliko,bei zikoje