Wingi wa Nywele

Wingi wa Nywele

Karibu JF kashangaga umemaliza kidato cha nne? Hukuwahi kusoma biologia?
 
Last edited by a moderator:
Mwilini sehemu gani hasa? Na kama ni mwili mzima basi utakua una nyota ya sokwe.
"haya ni majibu ya kitaalamu" Usinibishie tafadhali.
 
Nywele,nyusi,kopi,mustachi,ndevu,vinyoleo,malaika,garden love,mavu...,nk hivi za kwapani zinaitwaje?
 
nywele!!!? kwa kuwa zina majina mengi itakuwa umemaanisha kichwani. Hii inaweza kusababishwa na asili yako either asian 0r european, pia inaweza kusababishwa na matumizi ya vichochezi
 
Nielewavyo ni hormones nyingi za Kiume..


Cc kashangaga
 
Last edited by a moderator:
ulaji wa vyakula vya PROTINE kama maharage,njugu,mbazi,nakadhalika, husababisha kuwepo na nywele katika kila sehemu za mwili wa living organisms.SOMA BIOLOGY USIWE MVIVU MABWANA.HAYO TU WANAJF DOKTAZ FOR REAL.
 
Back
Top Bottom