kashangaga
Member
- Feb 16, 2014
- 16
- 2
rutuba
Rutuba kwenye nywele hustawisha chawa kunguni na mba
Nywele,nyusi,kopi,mustachi,ndevu,vinyoleo,malaika,garden love,mavu...,nk hivi za kwapani zinaitwaje?
Mwilini sehemu gani hasa? Na kama ni mwili mzima basi utakua una nyota ya sokwe.
"haya ni majibu ya kitaalamu" Usinibishie tafadhali.
wingi wanywele mwilini unasababishwa na nini?
ningejua nisinge uliza
Rutuba kwenye nywele hustawisha chawa kunguni na mba
Hahahaha kunguni?? mbona mimi siwaoni? kichwani au sehemu nyingine? hatareeee
Kotekote King's daughter dar mpaka moro