WINNER: Bayern Munich tumechukua ndoo

WINNER: Bayern Munich tumechukua ndoo

BAVARIAN

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
222
Reaction score
168
Yes leo tena bayern munich tumemaliza kazi na kuchukua ndoo again ,,,,, hatareee sana [HASHTAG]#muller[/HASHTAG], arturo vidal pado, lewaGOALSKI, frank ribbery, rafinha, kingsley coman, mats hummels, jossua kimmich, arjen robben, thiago alcantara, Boateng ,Juan benat,, David alaba, Sebastian rudy, sanches, tolliso,######### hataree sana hawa watu na hongereni sana huu mwanzo tu kitaeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bayern ni hatari sana ni timu ambayo kwa miaka yote iko juu huwa haichuji, inaendeshwa kwa mipango mikubwa sana.

Mia San Mia
 
Bayan ninayoiaminia ni ya miaka 90 ya akina Lothar matthias, rudi voller, Oliver biahorff na Jurgen Klinsmann. Na Bayan nyingine kali ni ya akina jan Janka, Oliver kan, steffenburgh na SAMUEL KUFFOUR beki mwamba kutoka Ghana. Nililia fainali uefa 1999 walipofungwa na mani dakika ya majeruhihi. Ilikuwa mechi ya kusismua sana. It was a nailbiting match Manchester was trailing by a goal down. Then in the dying minutes teddy Sheringham na one gunner skojyeir motorway wakafunga.

Barca till death
 
Mnapongezana ujinga. Wajerumani na nyie wapi na wapi?
Assalaam aleykum
Dada faiza,

Hawa wajerumani mi nawapenda kulilo waingereza na wamareksni bora wangetutawala mpaka mwisho.

Kuliko kuwaangalia kina manchester bora bayern
 
Hapana mkuu wajerumani sio sana wachonganishi kama wenzao halafu si unajua haya mapenzi ya kimchezo tu ndugu.
Tuna hasira sana na hawa watu. Unaongea michezo, umesahau kuwa hawa hawa walikuja Afrka na kujifanya wanaeneza dini kumbe walikuwa wanapanga njama kututukandamiza kwa mgongo wa dini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli wajerumani wapo vizuri thats why tunawashabikia jaribu kuangalia mafanikio waliyonayo katika nyanja mbalimbali , wana mifumo mizuri ya kuzalisha vipaji , kiuchumi wapo vizuri alafu ninchowakubli zaidi c watu wa maneno maneno kma waingereza na wafaransa yaani hawa jamaa wangetutawala hadi uhuru tungekuwa mbali sana kiuchumi ni watu wa kazi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna hasira sana na hawa watu. Unaongea michezo, umesahau kuwa hawa hawa walikuja Afrka na kujifanya wanaeneza dini kumbe walikuwa wanapanga njama kututukandamiza kwa mgongo wa dini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu hakuna wakoloni waliokuwa na lengo la kuisaidia africa bali ni kuigandamiza wote tunajuaa hilo lkni ukija kwnye effect utakutana na postve and negatve effect sasa katika wakoloni wote hawa jamma naamini ndiyo wangeweza kutuachia effect positively kuliko hayo mengine kama wangetutawala hadi 1961

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom